the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,106
- 357
Nina simu tajwa hapo juu, ina-restart kila baada ya masaa mawili. Ni mpya inafanya hivi tangia niinunue. Kama mtu anajua namna ya kusolve hili tatizo anisaidie. Vitu vingine inafanya vizuri tu.
Umejaribu kucheki updates? Irudishe ulipoinunua usitake risk
Ahsante mkuu, hizo updates nifanyeje
Nenda setting halafu phone updates
Ahsante mkuu, hizo updates nifanyeje
Nashukuru mkuu, nime update jana ipo vizuri, haijazima tangia jana.
bei yake ni sh ngapi hapa bongo?
na perfomance yake ikoje?
sababu namimi nataka kuhamia ulimwengu wa windows phone
HII hapa inauzwa 570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''
ufanyakazi wake uko vip unavyoiona?
ufanyakazi wake uko vip unavyoiona?
Naiona poa tu, mara ya kwanza nilikua na 630. Hii ipo poa zaidi kulinganisha na hio 630, pia inategemeana nawewe unataka nini kwenye simu.
HII hapa inauzwa 570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''
Hiyo 640XL 5.7" inapatikana wapi mbona nishaitafta sana siipati, nielekeze duka mkuu. Naitaka sana hiyo.
Nenda voda shop Uchumi Nyerere Road, Mlimani City unapoingia tu upande wa kulia ukiipita CRDB, pia Posta ukitokea NMB kama unaelekea baharini kuna duka lina bango la LG.
Bei yake kiasi gani, nataka ambazo sio za mitandao. Shukrani lakini mkuu.
Mkuu samahani umeichukua posta duka gani?????! NashukuruHII hapa inauzwa by570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''
Mkuu samahani umeichukua posta duka gani?????! Nashukuru
Umejaribu kucheki updates? Irudishe ulipoinunua usitake risk
Mkuu nisaidie bei ya lumia 540 iko ngapi kwa sasa Tz.ahsanteh