Wadau ninasimu aina ya Huawei y530 nikiwasha inanipa Maelezo haya-fastboot&rescue mode,please connect USB cable to your computer and open hisuite.(more information -...
Ndugu wanajamiiforum,
Tablet nilikuwa nimeiacha kwenye umeme kwa muda wa saa moja hivi huku ikiwa na muvi inaendela kucheza wakati ina download windows 10 kwa ajili ya ku upgrade kutoka windows...
Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua...
Tigo wanatangaza kwamba wale wenye simu zenye uwezo wa kufanya kazi katika mtandao wa 4G waende katika Tigo shops wabadilishe namba zao za 3G ili wapewe namba mpya za 4G. Mimi simu yangu ni...
Kwa wenye uelewa na hii ishu mana juzi nilienda nalo mahali (safari fupi hapa na pale) niliporudi nikalipaki (saa sita ya mchana) lakini jioni (kumi na mbili jioni) nikakuta na mabadiliko haya...
Habari zenu wakuu, simu yangu tecno H3 inatatizo la kunasanasa keypads zake kiasi ambacho nashindwa kuandika sms na vilevile nikibonyeza backspace inaanika herufi m. sasa sijuwi tatizo lake ni nini.
Wakuu habari za Leo
Kama ilivyo kawaida ya jukwaa hili ni kusaidiana kutatua na kuelekezana katika katika mambo yote yanayo husu TEHAMA
Kama kichwa kisemavyo sijui nini kimetokea ila mpaka sasa...
Beware the Android virus that can WIPE your phone: Experts warn users that malware is being spread by text message
Mazar is spread by a harmless-looking link sent via a text message
Security...
Apple yaamrishwa kuifungua simu ya muuaji
Jaji mmoja katika jimbo la Carlifonia nchini Marekani ameiamrisha kampuni kubwa ya Teknolojia ya Apple kusaidia polisi katika kuchunguza simu ya...
Habari wakuu. Hivi kifurushi cha chuo cha vodacom kimefutwa au wamebafili namba za kujiungia mana nimetaka jiunga Leo kupitia *149*02# na kukuta maelezo mapya kabisa.[emoji35]
Jamani nawaomba msaada natumia simu aina ya ZTE U880E ni adroid version namba 2.3.7 na kuna mahali kwenye seting nikiangalia wameandika mobile netwok type EDGE sasa kiukweli hii simu ipo slow sana...