Tigo wanatangaza kwamba wale wenye simu zenye uwezo wa kufanya kazi katika mtandao wa 4G waende katika Tigo shops wabadilishe namba zao za 3G ili wapewe namba mpya za 4G. Mimi simu yangu ni Samasung Galax S5.
Nimeipeleka katika Tigo shop ya Mlimani City na wakathibitisha kwamba inaweza kufanya kazi katika mtandao wa 4G na nikapewa namba mpya ya 4G.
Siku ile pale Mlimani City simu yangu ilikuwa ikionesha kwamba nimeunganishwa katika mtandao wa 4G. Lakini tangu niliporudi nyumbani simu yangu haijasoma tena 4G na bali inasoma 3G. Katika utendaji wa kazi mf. kasi ya kufunguka nk sioni tofauti ya wakati ilipokuwa 3G na wakati huu niliopewa namba mpya ya 4G.
Hivi Tigo kweli wana 4G au ni changa la macho?