Huawei y530 msaada

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
175
Wadau ninasimu aina ya Huawei y530 nikiwasha inanipa Maelezo haya-fastboot&rescue mode,please connect USB cable to your computer and open hisuite.(more information - http://zh.ui.vmail.com/emotion download.php?mod=restore, chini kabisa kuna Maelezo haya phone locked.naombeni msaada kwa wanofahamu ufumbuzi wa hili tatizo,shukrani.
 
Weka iyo hisuite kisha connect then check for updates ukikuta basi update
 
Wadau ninasimu aina ya Huawei y530 nikiwasha inanipa Maelezo haya-fastboot&rescue mode,please connect USB cable to your computer and open hisuite.(more information - http://zh.ui.vmail.com/emotion download.php?mod=restore, chini kabisa kuna Maelezo haya phone locked.naombeni msaada kwa wanofahamu ufumbuzi wa hili tatizo,shukrani.
Hapo inamaanisha ina boot bootloader na ndio maana unaona maneno "locked" kwa chin ikimaansha bootloader ipo locked,cha kufanya download firmware yake kisha extract dload file halafu liweke kwenye memory card iingize ksha zma smu kwa kutoa battery..lastly bonyeza cha kupunguzia saut,kuongezea saut na cha kiwashia vyote kwa pa1 itaanza ku upgrade firmware subria had imalze.
 
Hiyo inahitaji hard reset from sdcard.. kama upo dar nenda kariakoo tu pale kamata fundi atakusaidia kwa elfu kumi , kama upo mkoani sasa hayo ni majangaz , au jaribu kuingia youtube utapta maelekezo mazuri tu..
 
srinavas
UPO SAHIHI KABISA KARIAKOO SOFT NI SOLUTION KWA SIMU YAKE HAFIKE KARIAKOO BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO NDO TUNAPOPATIKANA
MAWAILIANO 0653868632
 
Wadau ninasimu aina ya Huawei y530 nikiwasha inanipa Maelezo haya-fastboot&rescue mode,please connect USB cable to your computer and open hisuite.(more information - http://zh.ui.vmail.com/emotion download.php?mod=restore, chini kabisa kuna Maelezo haya phone locked.naombeni msaada kwa wanofahamu ufumbuzi wa hili tatizo,shukrani.
Ni issue ya dk 0 tu wewe mwenyew kama upo serious unaweza ifanya chumban kwako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom