Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natumia huwei y300, lakin Leo wakat nasikiliza redio asubuhi ghafla simu ilizima nilipo iwasha ikawaka then baada ya sekunde chache ikaandika "the temperature is higher than the operating...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Habari za humu wadau,natumia simu aina ya samsung j1 na line ya tigo.Imekuwa ikinisumbua kwa siku kadhaa sasa kiasi kwamba inafikia muda nashindwa kupiga simu,kutuma messages na hata kutumia...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
naombeni mwenye kufahamu jinsi ya kudownload windows xp boot cd
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Wakuu naomba kuuliza wapi naweza badili camera ya nyuma ya Samsung galaxy s4 na kwa garama ipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
waadau naomba mnambia ni softwarew gani nzuri ya kwenye pc ambayo ni nzuri kwa ajili ya kutengeneza beat.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
John McAfee, mwanzilishi wa kampuni mashuhuri ya kutengeneza programu za kuzuia na kupambana na programu za kompyuta, amesema anaweza kuifungua simu aina ya iPhone iliyotumiwa na Syed Farook...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kupata App ya jamiiforums kwenye Lumia520.
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Habari wakuu, Jana kama sikosei,wanasayansi walitangaza mapinduzi makubwa ya kugundua alichokisema Albert Einstein miaka mia moja iliyopita kuhusu kupata/kuwa na uwezo wa kuipima gravitation...
7 Reactions
59 Replies
8K Views
Embu leo tuongelee kuhusu simu.kwa sababu siku hizi mada iliyobamba ni kuhusu simu feki 1.Ivi ni kweli simu yoyote ya button ya laini mbili mfano tecno,itel,ditel na smartphones zenye laini...
1 Reactions
6 Replies
46K Views
Simu yangu ni Samsung Galaxy Duos,kwanza ilianzakwa kugoma kutumia WhatsApp na nilipojaribu ku-update WhatsApp napo inagoma,nimejaribu pia ku-update kwa kutumia Kies lakini wapi na sasa Google...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, sijui kama mnafuatilia sakata kati ya Apple Smartphones na Serikali ya Marekani. Serikali inashinikiza Apple wawatengenezee backdoor App. ili waweze kusoma encrypted messages za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu Wakubwa nilikuwa nahitaji ETS kwa ajiri ya Ps2 vipi hili litawezekana au game hii ni kwa ajiri ya pc na kama hamna je naweza kupata game inayofanana na hii.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba link ambayo itanisaidia kuinstall ea sports football club ya fifa 14 kwenye tecno y6 yangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Apple chief executive Tim Cook says the FBI's court order to access the mobile phone of San Bernardino killer Syed Farook is "dangerous", "chilling" and "unprecedented". The FBI says Apple's lack...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu nina FIFA 15 kila nikifanya settings za padi inagoma, naombeni msaada kuset ili iwe kawaida (shoot iwe box, triangle iwe pen.pass, O ni chop na X ni pasi fupi) mimi kila nikiseti...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Simu yangu imegoma kukubali kuinstall tubemate, kuna program ya Clean Master inazuia hii program isiwe installed. Hata nikijaribu kui uninstall haikubali kutoka, toka nilipo update to lollipop.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar gani jamani wanajamii forum nafikili wote wazima tena wa afya ila jaman kunatatizo kidogo nilikuwa naomba kuxaidiwa jaman kuna waya unaitwa Ethernet cable unatumika kwenye computer kwa ajili...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kampuni ya India imezindua simu janja 'smartphone' yenye gharama nafuu zaidi duniani. Kampuni ya 'Ringing Bells imesema simu yao ya freedom 251 itagharimu rupia 251 pekee(dola 3.6 za kimarekani...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurudisha OS y iPhone yangu imekufa. Toka juzi najaribu ikifika karibu kumaliza inakufa tena. Inarestore almost 90% kisha inakwamia hapo. Tafadhali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…