Msaada wa Ku'unlock Samsung 4GLTE

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini wakuu!

Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au isiwe nayo inaniandikia hivyo! Pia nimejaribu kuhold power button na volume down button inaniletea ku reboot nafanya hivyo lakini inakaa kidogo inanirudisha tena kwenye PIN code ku enter tafadhari
 
Ni samsung aina gani? Au ndio inaitwa tu samsung 4glte? na je , ni yakwako kabisa? I mean umenunua brand new dukani au ni ya dili. Kama ni ya dili basi itakuwa imepigwa pin hyo
 
Ni Samsung 4G LTE MT6572....nilinunua kwa mtu nikawa naitumia sasa katika kubonyeza bonyeza wakawa wanataka Kuingiza privacy passowrd ku unlock....kuna mda naiwasha kabisa halafu naingia hadi kwenyw setting lakini baada ya mda inajirudi tena sasa sijaju ni kufix hilo tatizo au vip
 
Habarini wakuu!

Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au isiwe nayo inaniandikia hivyo! Pia nimejaribu kuhold power button na volume down button inaniletea ku reboot nafanya hivyo lakini inakaa kidogo inanirudisha tena kwenye PIN code ku enter tafadhari
Hiyo simu fake /copy
 
Ni copy si unaona mtk hapo
Sasa unaweza piga picha tuone hilo tatizo lako?
Tatizo kubwa ni hzo paswrd...ukiwasha inawaka inakaa kidg inajilock automatically wanakuandikia please enter your privacy protection passwrd nimejaribu kuingiza 0000 inagoma wananambia wrong PIN

NI mehold VD +PB inawaka wananiletea Factory mode mwisho kuna reboot nikireboot inarudi vile vile

nime hold VU + PB inaniletea android system recovery kuna >reboot sytem now> apply update from ADB> apply update from SDCARD > apply update from CACHE > Wipe data/ factory reset> wipe cache partition> backup user data>restore data
 
Ume wipe data na cache?
 
ndio mkuu nikiwasha nikikaa kidogo inajirudi tena kama kawaida na simu yangu haina memory card mwishon mwa yale maneno wananiambia no command
Solution hapo ni kuflash tu hiyo simu na stock firmware mkuu
 
naomba nielekezee hii njia na requiremnts zake mkuu
Utatakiwa kuwa na flasher ambayo ni sp flash tool
Pia stock rom ya simu yako japo kuipata ni issue kidogo
Pia drivers za simu mtk devices hizi zinapatkana mtandaoni kiurahisi.
 
oky kwenye model ya simu nitaandika A8 au CMX A8 AU IPI MKUU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom