Msaada Wakuu: Clean master inazuia tubemate kuingia kwenye simu

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,619
1,710
Simu yangu imegoma kukubali kuinstall tubemate, kuna program ya Clean Master inazuia hii program isiwe installed.
Hata nikijaribu kui uninstall haikubali kutoka, toka nilipo update to lollipop.
 
nenda setting then security then device administrator halafu itoe clean master hapo then ndio ui uninstall.
 
nenda setting then security then device administrator halafu itoe clean master hapo then ndio ui uninstall.
Nimekwishaiondoa lakini ngoma bado inagoma.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-18-20-43-25.jpg
    Screenshot_2016-02-18-20-43-25.jpg
    33.7 KB · Views: 30
Kitu kingine haikubali kuiunistall, inasema uninstall updates.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-18-20-48-01.jpg
    Screenshot_2016-02-18-20-48-01.jpg
    45.5 KB · Views: 27
KARIAKOO SOFT
HIZO APPS ZINAWEZA KUTOKA KAMA SIMU YAKO ITAKUWA IMEGRANT SUPERSU PERMISSION
LAKN WATAKA MSAADA ZAID BADO NIPO HEWAN
 
Back
Top Bottom