Jinsi ya kuitambua simu feki

Valsava

Senior Member
Aug 16, 2015
155
111
Embu leo tuongelee kuhusu simu.kwa sababu
siku hizi mada iliyobamba ni kuhusu simu feki
1.Ivi ni kweli simu yoyote ya button ya laini
mbili mfano tecno,itel,ditel na smartphones zenye laini mbili,ni feki?
2.ivi ni kwa nini ukishawatumia IMEI ya simu
TCRA,wanajibu tu kuwa simu ni aina
fulani,imetokea kampuni fulani, na hawasemi kama ni feki au orijino?.
3.kwa mfano jina la simu ni ITEL,na TCRA
wakakujibu kuwa simu yako ni ITEL(Je hiyo ndio
orijino)?.na mfano jina la simu ni NOKIA,na
TCRA wakakujibu kuwa simu yako ni ITEL(je
hiyo ndo feki)?
#juni16
 
Simu Fake maana yake ni kuwa imeghushiwa kwenye production na specification na kuwekwa brand name ya kampuni nyingine,,,,kwa mfano wahuni tu wa china wanatengeneza simu inayofanana kwa nje na S5 na kuiandika samsung,thats faking na kuna njia za kutambua kuanzia kwenye appearance na specification,niishie hapa
 
simu ikiwa fake haina maana haifai.faking inaweza kufanywa kwa lengo la biashara ili kuifanya simu ionekane ni ya dhamani na bora zaidi.mfano simu zinazojulikana sana ni nokia.samsung.hivyo makamouni mengine hutengeneza simu ns ili wapate soko la haraka huweka alama za haya makampuni.simu zinaweza kuwa bora lakini mara nyingi sio kwa kiwango cha zile za kampuni husika.
 
Embu leo tuongelee kuhusu simu.kwa sababu
siku hizi mada iliyobamba ni kuhusu simu feki
1.Ivi ni kweli simu yoyote ya button ya laini
mbili mfano tecno,itel,ditel na smartphones zenye laini mbili,ni feki?
2.ivi ni kwa nini ukishawatumia IMEI ya simu
TCRA,wanajibu tu kuwa simu ni aina
fulani,imetokea kampuni fulani, na hawasemi kama ni feki au orijino?.
3.kwa mfano jina la simu ni ITEL,na TCRA
wakakujibu kuwa simu yako ni ITEL(Je hiyo ndio
orijino)?.na mfano jina la simu ni NOKIA,na
TCRA wakakujibu kuwa simu yako ni ITEL(je
hiyo ndo feki)?
#juni16

Jayunta haina hata haja ya kutuma IMEI TCRA ingia Check IMEI - IMEI.info utajua kama simu yako ni OG au feki
 
Back
Top Bottom