Jamani tatizo kwenye game la FIFA 15

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Ndugu zangu nina FIFA 15 kila nikifanya settings za padi inagoma, naombeni msaada kuset ili iwe kawaida (shoot iwe box, triangle iwe pen.pass, O ni chop na X ni pasi fupi) mimi kila nikiseti haiwi hivo.
Kwenye FIFA 14 ilikua poa ila tangu nimeweka hii 15 settings zote zimekongoroka.
 
toka huko kwa FIFA 15 uingie ile ya zamani 14 haitakuboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom