Naomba msaada.

Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,858
3,910
Natumia huwei y300, lakin Leo wakat nasikiliza redio asubuhi ghafla simu ilizima nilipo iwasha ikawaka then baada ya sekunde chache ikaandika

"the temperature is higher than the operating temperature of your phone"

kisha ikazima, nakajaribu kutoa betri nikaiacha kama dk 10, kuwasha tena ikaaandika vilevile, naomba msaada hapa tatizo mini na solution mini ?

Thanx in advance
 
Kama unaona betri ina uvimbe basi jibu kama ndo tatizo itakuwa hiyo na itabidi ukanunue betri mpya
 
Kama unaona betri ina uvimbe basi jibu kama ndo tatizo itakuwa hiyo na itabidi ukanunue betri mpya

Nashukuru mkuu, hili betri halijavimba, lakini in la siku nyingi na ufanisi wake ulikuwa umepungua sana, nitajaribu betri nyingine nione itakuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom