mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,901
- 8,360
Simu yangu ni Samsung Galaxy Duos,kwanza ilianzakwa kugoma kutumia WhatsApp na nilipojaribu ku-update WhatsApp napo inagoma,nimejaribu pia ku-update kwa kutumia Kies lakini wapi na sasa Google Play hai download kitu chochote,nimekosa mawasiliano ni kama vile nipo Shitimbi.kwa anayejua jinsi ya kufanya maujanja anaijulishe njia za kufanya huo utaalamu kupitia hili jukwaa,si ajabu wanaopata hili tatizo kwenye simu zao wapo wengi.