India: Kampuni yatoa Smartphone MPYA kwa Tshs 8,000/-

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
_88332547_7ecfb551-952f-4ee5-95ba-a4afe3452754.jpg
Kampuni ya India imezindua simu janja 'smartphone' yenye gharama nafuu zaidi duniani. Kampuni ya 'Ringing Bells imesema simu yao ya freedom 251 itagharimu rupia 251 pekee(dola 3.6 za kimarekani sawa na Tshs 8,012) na kulitokea hitaji kubwa sana ndani ya saa moja tangu mauzo kufunguliwa.

India ni soko la pili la simu kwa ukubwa duniani na lina matumizi ya simu bilioni moja, Freedom inarajiwa kulenga soko ambalo tayari limetawaliwa na simu za bei rahisi.

Simu hio ina uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu ya GB 8 na kamera nyuma na mbele na toleo hio linafanana na iPhone 4 ikiwemo kitufe cha nyumbani 'Home button'.
Simu hiyo ilianza kuuzwa Alhamisi asubuhi lakini masaa machache baadae, kampuni ilisitisha kupokea oda baada ya tovuti yao kutofanya kazi kutokana na hitaji kubwa: Ilikuwa inatembelewa mara 600,000 kwa sekunde.

Kampuni ya Ringing Bels ilisema itatengeza simu zao ndani ya nchi hiyo japo bado haina kiwanda nchini India. Mifano waliyopewa waandishi ilikuwa ya simu za kichina zenye jina la Adcom na ikiwa na rangi nyeupe. Imeahidi kuanza kutoa simu hizo kwenye kipindi cha miezi minne.
"Inaonekana kampuni imeitolea ruzuku kubwa na haijawa sawa jinsi gani wamejipanga kubakia nayo" Tarun Pathak aliiambia Reuters ambae anatokea kampuni ya utafiti ya Counterpoint Technology.


An Indian company has launched what is being billed as the world's cheapest smartphone.
Ringing Bells said their Freedom 251 phone would cost just 251 rupees ($3.67; £2.56), and there was huge demand in the first hours of sale.
But sceptics have raised questions about the device and the company's price strategy.
India is the world's second-largest mobile market and has one billion mobile phone subscribers.
Freedom 251 is expected to target a market already dominated by low-cost handsets.
Is India's $3.6 smartphone too good to be true?
The phone has 8GB storage and cameras in the front and back, and its model resembles Apple's iPhone 4, including the home button and icons.
"This is our flagship model and we think it will bring a revolution in the industry," the AFP news agency quoted a spokeswoman as saying.
Media captionShilpa Kannan takes a closer look at the Freedom 251
The smartphone went on sale on Thursday morning but, just hours later, the company had to stop accepting orders after its website crashed due to huge demand: 600,000 hits per second, it said.
Ringing Bells said the phone would be produced locally, even though it still has no factory in India. The prototypes handed to journalists were, actually, of a Chinese-made phone with its brand name, Adcom, covered with white paint.
It has promised to deliver the first devices in four months.
The company had initially said the device would cost under 500 rupees (£5; $7.3), before revealing a much cheaper price at the launch on Wednesday.
But critics have raised questions about the smartphone, saying the price is far lower than what its components would cost, let alone costs with production, distribution and marketing.
"It looks like it is highly subsidized by the company and it is not clear how they plan to sustain this," Tarun Pathak, an analyst with Counterpoint Technology Research, told the Reuters news agency.
The Indian Cellular Association reportedly wrote to the country's telecoms minister Ravi Shankar Prasad saying it was not possible to sell a 3G phone below 2,700 rupees.
Ringing Bells was set up a few months ago and recently launched one of India's cheapest 4G smartphones at 2,999 rupees, the Press Trust of India reported.

SOURCE: BBC
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1455824818.763496.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1455824818.763496.jpg
    9.6 KB · Views: 35
With specifications similar to phones at least 15 times more expensive
 
Hii imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuuzwa India na nasikia ni PM kahusika huu mradi kwa ajili ya uhuru wa India, kwa hiyo wale wenzangu na mimi wa kupenda vya bure poleni sana labda ziletwe hapa Bongo kwa magendo
 
hahaha simu zimeanza kutumwa kwa waandishi wa habari na zimeonekana hazijatengenezwa india bali ni rebrand ya simu za adcom na cha ajabu lile jina limezibwa tu na eraser ile nyeupe ya kufutia maandishi kwenye karatasi

CbeBXSUUsAAb0im.jpg


pia waziri husika india amesema kodi tu na mambo mengine yanafika dola 40 hivyo haiwezekani ikauzwa hivyo.

so kuna uwezekano ni changa la macho hao walio pre order wakawa wameibiwa
 
Back
Top Bottom