Game ya euro truck simulator

Game ya euro truck simulator

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,542
Heshima kwenu

Wakubwa nilikuwa nahitaji ETS kwa ajiri ya Ps2 vipi hili litawezekana au game hii ni kwa ajiri ya pc na kama hamna je naweza kupata game inayofanana na hii.
 
Tangia nicheze hii game ad leo naheshimu sana waendesha maTruck hasa tela 2
 
Hii kitu ninashda nayo kama hela, sababu pc yangu ina uwezo mdogo xana ila nina ps2 nadhani hii itawezekana.
 
Ninayo setup yake ila sijui itakufikiaje .maana ni kama 600mb
 
Back
Top Bottom