Msaada Tafadhali, QSat Q15G Inashindwa Kulink

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Kisimbusi changu cha Qsat q15 g kinashindwa kuunga (link). Inatoa ujumbe huu. "No Dongle Device"

Nimeki update hivi karibuni. Muda mrefu nilikuwa sikitumii.

Shida ni nini na inatatulikaje?
 
Kisimbusi changu cha Qsat q15 g kinashindwa kuunga (link). Inatoa ujumbe huu. "No Dongle Device"

Nimeki update hivi karibuni. Muda mrefu nilikuwa sikitumii.

Shida ni nini na inatatulikaje?
What dongle device/Modem are You using?
Specify e.g Huawei E173 e.t.c

Au huu ujumbe unaupata ukiwa unatumia SIM Card?

Mind you sio modem zote ziko supported
 
Back
Top Bottom