chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Kwanza heshima kwenu wana JF,
Mwenzenu nahitaji kujua, nimejenga nyumba mpaka sasa imefikia hatua ya kupiga linta. Nilichotaka nijue hapo kwenye linta fundi kaniambia inatakiwa nondo zitembe nne na mimi nimeona nondo zitembee nne kama itakua gharama kubwa.
Nilikua naomba nijue kwa mfano nikiweka nondo zikatembea mbili mbili na zeko la kutosha kutakua na athari yoyote.
Nihayo tu wa JF.