SwahiliFlirt
Member
- Dec 27, 2015
- 40
- 30
Kwa mwenye kujua wakuu naomba anisaidie kama kuna chuo au sehemu yyt Dar inayotoa mafunzo ya computer language programming tuu Kama ni C# Java Python PhP etc
Note: najua kuna tutorials YouTube Lynda udemy tutplus na kwingineko ila dogo anataka darasa au yyt ambaye yupo nondo kumpa Mwanga wa programming. Tufahamishane na Bei pia itakua vyema zaidi