Channel gani ya FTA inaonyesha UEFA champions league?

Channel gani ya FTA inaonyesha UEFA champions league?

zamani tulikua tunaona kupitia e tv ile ya south, kwa sasa sijui wanaojua watapita hapa.
Kama utakua nayo hiyo e tv kwenye zuku unaweza kuona kati ya ile jumanne au j5.
maana e tv nimeona startimes na azam wameweka.
 
vipi kuhusu channel za kenya,uganda au zile za mozambiq/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom