Uliza swali lolote kuhusu adsense,UPATE MAJIBU

wcasc

Member
Feb 21, 2016
19
3
Habari zenu,
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu endapo una swali lolote kuhusu adsense u may ask UTAJIBIWA,

Karibuni!
 
Umewai pata hela kutokana na matangazo ya Adsense? kama ndio je unaweza kunitengenezea website inayopokea matangazo ya adsense? ,if yeah ni PM
 
Umewai pata hela kutokana na matangazo ya Adsense? kama ndio je unaweza kunitengenezea website inayopokea matangazo ya adsense? ,if yeah ni PM
ndio nimewahi kupata zaidi ya dollar 5000 imenifanya nijenge nyumba,kununua gari nikiwa bado naishi nyumbani
 
Adsense ni nin?
AdSense (Google AdSense) is an advertising placement service by Google. The program is designed for website publishers who want to display targeted text, video or image advertisements on website pages and earn money when site visitors view or click the ads.
 
ndio nimewahi kupata zaidi ya dollar 5000 imenifanya nijenge nyumba,kununua gari nikiwa bado naishi nyumbani
$5000 kwa mwezi? au ni cumulative?

pia umeipata kutumia website gani?

please tupe link ya website yako tufanye ziara ya kikazi...
 
$5000 kwa mwezi? au ni cumulative?

pia umeipata kutumia website gani?

please tupe link ya website yako tufanye ziara ya kikazi...
ni tangu nianze WEBSITE yangu inaitwa www.https://jamii.app/JFUserGuide
 
Hizi adsense zinatokea sana kwenye web browser yangu zingine huwa sizipend, nafanyaje kuziondoa?
 
Back
Top Bottom