Msaada: Estimated cost ya hii network scenario

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,303
2,714
habari za majukumu,
tafadhalini mwenye uzoefu na cost za network cable installation na system nzima ikiwemo wall socket etc.
room 5, computer 7 room moja na room zingine computer moja moja.

hapa naomba mnijuze estimated cost tunaweza chargetafadhalini

nawatakia kazi njema na majukumu mema asanteni
 
Back
Top Bottom