Msaada: Android app ya kusave kurasa za internet

Bengazuu

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
1,029
1,236
Naomba mnielekeze application kwa simu ya android ambayo nikiwa nasoma kitu online naweza save kwenye hiyo application.
 
ahaaa asante maana i una muda nikisave kwenye kufungua yahitaji internet
 
Tafuta browser kama uc browser ambazo zina add-ons. Tafuta add ons ya web to pdf.
Ukishafungua web unayoitaka ku save hiyo page bonyeza menu ya uc browser utaona sehem ya add ons fungua utakuta add ons ya web to pdf ifungue itakupa option ya kurename hiyo web uisave kwa jina gani kisha save itadawnload ile page ktk mfumo wa pdf na itakuwa katika simu waweza open hiyo pdf kwa adobe reader nk.
 
save tu hio page then baadae utaifungua bila internet
Naomba kujua jinsi ya kuondoa apps hizi zinazo round wakati nikiperuz mtandao au nikitumia app nyingine utakuta kuna matangazo ya app yanakatiza na kusumbua sana, jinsi gani ya kufanya ili haya matangazo ya app yasionekane?
 
Mkuu nimeodownload but naiona kama ni ngumu sana kuitumia maelezo tafadhali
Wala sio ngumu fanya hivi download hiyo poket ukisha install katika simu yako na ukajisajili kwa kutumia gmail account tumia browser kama opera min, uc browser etc kufungua web au ukurasa wowote wenye ishu unayotaka ui save ili kwabaadae hata kama huna kifurushi basi unafungua tu.
Hiyo web ikishafunguka bofya option ya hiyo browser nenda kwenye share page zitakuja app nyingi ikiwemo na poket sasa weww chagua poketi ile web itajihifadhi humo.
Ukitaka kuifungua tena bila internet wewe zima data kisha nenda kwenye app ya poket fungua utakuta web ulizo zitinza fungua...
 
Back
Top Bottom