MSAADA: Laptop yangu ina low memory

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,548
63,035
Habari za humu wakuu....

Nina Laptop yangu inatakiribani siku 4 , nikiwa nafanya kazi ina stack ña kuleta ujumbe Wa "' YOUR COMPUTER MEMORY IS LOW, RESTART TO CONTINUE "...... na blaa blaa zingine.....

Pili, inatoa sauti as if fan zake zina tumia nguvu sana....na wakati mwingine kunatokea overhearting hadi ina-restart yenyewe....

Specification zake ni :

Manufacturer: HP- 650
Ram. : 2GB
Os. : W7- 64 bits
HardDisk. 290GB
Processor. : Intel Pentium (2.4ghz)

NB; narun program za kawaida japo kuna 2 heavy software... Like
i. Archçad 16
ii. Artilantis studio 4



Naombeni ushauri wakuu....
 
ram ndogo hio kwa 64bit os, hio ndio minimum kabisa, ongeza atleast 4gb na kama una proffesional apps kama hizo jiekee lengo uwe na 8gb kupanda.

ram za 2gb unazipata around 20,000 mtaani nunua then chomeka. ila make sure ni ram ya laptop ddr3 na sio desktop maana haziingiliani.

kuhusu feni kufanya ngazi kazi kwa nguvu inamaana joto limeongezeka na cpu inapiga kazi sana. ieke laptop mahala pazuri penye hewa na kama kazi ni kubwa sana inunulie hata feni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom