Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimetengeneza app ya kuangalia African music & comedy videos, hua napenda kuangalia african music lakini app ya youtube hua inaniangusha sana kwa kua kuna features nahitaji lakini haina, kwa hiyo...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Nawasalimu wana JF Naomba msaada wenu, ninayo laptop ya MacBook pro retina edition late 2013, niliifanyia partition nika mackintosh HD ikaendelea ku operate kama kawaida Yosemite, na partition ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani computer yangu haina anti-virus na kila wakati napat shida na virus kama trojan etc. tafadhari nisaidie antivirus ya uhakika ambayo ni free
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka ku downgrade video quality ni app ipi nzuri?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari za jion, nahitaji kinunua king'amuzi cha EASY TV. Ni wapi kinauzwa, mwenye kuelewa aniuza tafadhari
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Authorised strong dealer in kenya
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Fahamu mbinu na jinsi ya kuprotect kompyuta yako. PROTECT YOUR COMPUTER FROM VIRUSES, HACKERS, AND SPIES PROTECT YOUR COMPUTER FROM VIRUSES, HACKERS, AND SPIES - techackonline
2 Reactions
0 Replies
916 Views
Again nimefanya tutorial ambayo inaelezea some simple yet amuzing tricks unazoeza kufanya ukiwa na software ya note pad. its simple and easy. just grab your laptop and follow this link code...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wataalamu, nimescan vyeti na CV yangu, bahati mbaya kila nikiattach ili nifanye application naambiwa mafile yangu makubwa, nawezaji kuyapunguza? Kuna app yoyote ya kuweza kupunguza au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana jamii namna ya kuiondoa msg hii maana imekuwa kero sana katika simu yangu siwezi fanya chochote
0 Reactions
22 Replies
4K Views
habari wakuu naomben mniambie model na brand ya hiyo modem niinunue isisumbue kuflash pia nambien kama kuna madhara ya kuflash modem pia nataka modem yenye speed kali mchango wako na ubarikiwe...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari wakuu. Juzi Kati nilipeleka simu kwa fundi kubadili system charge na akabadili. Ila baada ya hapo simu imekua inapoteza Sana mawasiliano yaaani unakuta line haisomi kana kwamba hakuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Macbook pro 15 inch Retina, 512gb ssd, 8gb memory, 2.6 procesor core i7 for 1.3m call 0769038065
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumia window ubuntu ila computer yangu hai play video wala audio mwanzoni nilikua nikitumia window 7 hapakua na tatizo naomba mnisaidie kwa anaefaham tatizo.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wadau. Naomba mnisaidi program ya pdf ili nitengeneze document fulani. Natanguliza shukurani....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Math mark up language <math xmlns="http://www.w3.org/1998/Math/ MathML"> <matrix> <matrixrow> <cn> 0 </cn> <cn> 1 </cn> <cn> 0 </cn> </matrixrow> <matrixrow> <cn> 0 </cn> <cn> 0 </cn>...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Habari zenu wana JF, Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Kwenye masuala ya digital wenyewe wanadai taarifa zinakuwa katika mfumo Wa 0 na 1 tu. Sasa wadau hii inakuwaje maana vyombo husika ni vya kielektroniki na taarifa zinasafirishwa kwa mfumo Wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nchi nyingi wanasayansi wanahangaika ni namna gani wataweza kumwezesha mtu mwenye ulemavu wa kuona aweze kutembea katika mazingira yenye vizuizi bila shida. Nimejaribu kwa kiwango changu,na...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Habara wakuu Mimi nahitaji kujifunza programming languages Je nianze na language gan? Na je naweza kujifunza online Au km naweza pia kutumia pdf Au ppt Asanteni
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…