Jinsi ya kubadili PVR videos kwenda formats nyingine

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
Habari zenu wana JF,
Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc una play kwa kutumia kin'gamuzi tu sababu lile file ni PVR format sasa nimejaribu convertor tofauti kama iorgsoft convertor, WinAVI Video Converter na VideoReDo zote zimebuma kuna ambaye alisha wahi ku-convert hili file? Anipe maujanja
 
PC imegoma mkuu? unatumia VLC? vlc ina uwezo wa kucheza format nyingi sana...try it
 
habri zenu wana jf mimi natumia king'amuzi cha baresa napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku record
movies kwa kutumia usb flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc una play kwa kutumi kin'gamuzi tu sababu lile file ni PVR format sasa nimejaribu ku convertor tofauti kama iorgsoft convertor,WinAVI Video Converter,
VideoReDo, zote zimebuma kuna ambaye alisha wahi ku convart hili file? anipe maujanja

Why dont you simply download some Video converters from web. Few i can suggest you is Faasoft PVR convertor. It uses to also have audio converting features. Using these tools you can convert your files in minutes.
 
tafuta converter inayoitwa Formatfactory ni nzuri na ina option nyingi za ku convert video + audio pia
 
hilo ndio file analo zungumzia mtoa mada

ninachokifahamu mimi ni ngumu kidogo kuweza kuconvert hiyo format kwa sababu za hatimiliki na pia kuzuia piracy ya kazi za wasanii hususan filamu, zipo baadhi ya player zinaweza kuplay hiyo PVR, ila hawa wamiliki wa visimbusi wanataka watu waplay kwa kutumia hizo hizo receiver zao na si vinginevyo, nina uhakika convertor ya hio kitu ipo ila ni ya kuchimbua mbali kidogo.
 
Hapo umenena sijui wameweka security gaini hawa jamaa wanna jf hebu ingieni chimbo mtuletee jibu
 
ninachokifahamu mimi ni ngumu kidogo kuweza kuconvert hiyo format kwa sababu za hatimiliki na pia kuzuia piracy ya kazi za wasanii hususan filamu, zipo baadhi ya player zinaweza kuplay hiyo PVR, ila hawa wamiliki wa visimbusi wanataka watu waplay kwa kutumia hizo hizo receiver zao na si vinginevyo, nina uhakika convertor ya hio kitu ipo ila ni ya kuchimbua mbali kidogo.

Hizi Ni video za kawaida zinakuwa encrypted, ukipata key waliotumia ndio utaweza Ku decrypt.

So far nimejaribu njia nyingi hadi hex editing ila naona giberish tu,
 
Unaweza nisaidia na model ya receiver ya Azam, full name

MODEL NUMBER NL-S7812

Photo2045 (2).jpg

Photo2046-300x225.jpg

Fully MPEG-4 H.264 DVB-S2 HD Compliant
Audio/Video Connections --- HDMI, RCA, Y Pb Pr
CAS Embedded (Advanced Security by Chipset Paring)
Support AAC5.1, AAC+ Level 2, Dolby Digital, Dolby Digital Plus
Support PVR/Picture Brower/MP3 Playback via USB2.0
Support Disec1.0, 1.2
Support multiple languages
Beautiful appearance and user-friendly interface
Upgrade via OTA and USB
 
Unaweza nisaidia na model ya receiver ya Azam, full name

Mkuu ulifanikiwa na hii kitu?, naona imenilia muda tangu juzi na kila software niliyojaribu file halitambuliki japo software inaeleza ina uwezo wa kubadili PVR! Pia nimeona simu TV youtube wanazo video za Azam nyingi, any idea wanatumia njia gani?
 
Kuna link ya azam kaka ya kustream online nenda kwenye thread ya iptv utaipata.

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ptv-kuangalia-tv-kwa-kutumia-internet-16.html

Kuhusu hio pvr naona imekuwa crypted na nimeshindwa kudecrypt,
Inabidi mtu apate key waliotumia kufanya hio encryption ili itengenezwe/tumodify script kuweza kuconvert hayo mafile.

Kwa windows ndio kazi hio nimeshindwa ila naona watu wengi wanarecomend linux distro kwa ajili ya kazi hii

Na nafkiri siri kubwa ipo kwenye hilo metafile (.meta) sababu pvr ni container tu kama mkv au avi

Update.
Pia unaweza tumia laptop/dekstop kama tv kwa kutumia ile converter ya tv na kurekodi vipindi vya television kupitia screen recorder
 
Back
Top Bottom