Please naomba link ya pdf writter/creayor

talentbrain

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,187
759
Samahani wadau. Naomba mnisaidi program ya pdf ili nitengeneze document fulani.

Natanguliza shukurani....
 
Samahani wadau. Naomba mnisaidi program ya pdf ili nitengeneze document fulani.

Natanguliza shukurani....
NJIA YA KWANZA
Kwenye pc install FOXIT reader [ hii ni PDF reader kama ilivyo kwa adobe reader]

Foxit reader ita_install PDf PRINTER ambapo utaweza kubadile kazi yeyote iliyo katika Word, excell, Publisher etl na kuwa pdf.

Unachotakiwa kufanya ni:
1. Fungua kazi yako
2. Bofya CTRL + P kisha chagua PDF printer
3. Chagua mahal pa kuhifadhi hiyo pdf yako
4. Click Print DONE utakuwa umepata pdf file toka kwenye kazi yako

Download FOXIT READER hapa: Foxit Reader 7.3.0.0118 Download for Windows / FileHorse.com

NJIA YA PILI
Iwapo una latest version ya MS office, Mfano MS office 2016 - Haihitajiki software yeyote ili kutengeneza PDF
Unachotakiwa kufanya ni
1. Fungua kazi yako
2. Click FILE > EXPORT > PDF/ XPS Document
3. Chagua mahala utakapoweka file lako
export.jpg


NJIA YA TATU
- Tumia PDFSAM iwapo njia ya kwanza na ya pili haikizi mahitaji.
- Download hapa: PDF Split And Merge
 
mwalimu naomba kuuliza bado vocha za vpn proxy zinapatikana za mwezi naomba unijulishe kupitia namba hizi +255765676800
 
Back
Top Bottom