Anza na java .. ingawa ngumu itakusaidia kujua zote zilizobakia.... ukianza na rahisi utashindwa kwenda kwenye ngumu.. mi niliaza na java.. ila sasa najua zote ndogo zake..
Anza na java .. ingawa ngumu itakusaidia kujua zote zilizobakia.... ukianza na rahisi utashindwa kwenda kwenye ngumu.. mi niliaza na java.. ila sasa najua zote ndogo zake..
Habara wakuu
Mimi nahitaji kujifunza programming languages
Je nianze na language gan?
Na je naweza kujifunza online
Au km naweza pia kutumia pdf
Au ppt
Asanteni
Mkuu kumwambia mtu aanze na java unamuonea, sawa inawezekana ila java ni full object oriented, kumuanzisha mtu na concepts kama Polymorphism na Inheritance kwenye classes unamchanganya, hizi protected, private, public ni concepts ambazo kwa beginner ataona madudu alafu Java ina syntax ndefu mno.. Na unavosema ni ngumu, nope! Java sio ngumu kuliko language kama C,C++, handling vitu kama strings, garbage collection, dealing with arrays n pointers vyote umerahisishiwa. Kama u think kuanza na ngumu ndio solution basi angeanza na C tu ili acheze na low level stuffs kwanza alafu ndio aje Java.
Sijui experience yako ilikuaje wakati unaanza so i can't judge u, mimi nilianza na C then nikasoma Java before C++, Java was incredibly easy to pick up, ila watu tunatofautiana.
You learnt programming with fear, that's why you post amusing comment like this.
hongera sana kwa uamuzi wako wa kujifunza hizi lugha na imani yangu utafanikiwa. sasa katika kujifunza kuna njia mbali mbali ambazo unaweza zitumia katika usomaji
waweza angalia video kwanza ukaenda kutekeleza au ukasoma vitabu. kama unajifundisha mwenyewe anza na kuangalia video kwanza.
Lugha la programming ni nyingi sana mfano python C++ , C, C#, Perl lang java nk. ila nakushauri uanze na python.
Mwisho katika usomaji soma taratibu maana huwa kuna watu wanataka wawe programmers ndani ya wiki.
Anza na java .. ingawa ngumu itakusaidia kujua zote zilizobakia.... ukianza na rahisi utashindwa kwenda kwenye ngumu.. mi niliaza na java.. ila sasa najua zote ndogo zake..
Ni software au App gani uliyotengeneza hadi sasa hivi na imenufaisha vipi jamii na wewe binafsi? ipo Play Stores?Mkuu kumwambia mtu aanze na java unamuonea, sawa inawezekana ila java ni full object oriented, kumuanzisha mtu na concepts kama Polymorphism na Inheritance kwenye classes unamchanganya, hizi protected, private, public ni concepts ambazo kwa beginner ataona madudu alafu Java ina syntax ndefu mno.. Na unavosema ni ngumu, nope! Java sio ngumu kuliko language kama C,C++, handling vitu kama strings, garbage collection, dealing with arrays n pointers vyote umerahisishiwa. Kama u think kuanza na ngumu ndio solution basi angeanza na C tu ili acheze na low level stuffs kwanza alafu ndio aje Java.
Sijui experience yako ilikuaje wakati unaanza so i can't judge u, mimi nilianza na C then nikasoma Java before C++, Java was incredibly easy to pick up, ila watu tunatofautiana.
Ni software au App gani uliyotengeneza hadi sasa hivi na imenufaisha vipi jamii na wewe binafsi? ipo Play Stores?
Programmers hawana maneno mengi sana.....jamaa anaomba ushauri nyie maneno mengi........fagix u can start with any language....but currentry
Yah.. sawa ulichoongea.. ila mi sikuanza na C ila nilianza C++... ila mi naona kwenda kujifunza C au C++ unajisumbua kwa ulimwengu wa sasa hivi... na ukijifunza python au php tu utabaki wa kawaida kwa level za kibongo....php, java na python mi naona ni mle mle kwa nguvu unayotumia kujifunza.. maana ukijifunza php jitahidi ujue na object oriented yake.. na python ni rahisi kwa kumeza ndo maana mwasema rahisi.... cha muhimu ni kuelewa jinsi ya kutumia documentation.. hakuna haja ya kumeza... na java ukiilewa utaakuwa unacheza mle mle muda wote na application zako zinasonga mbele..
Ni software au App gani uliyotengeneza hadi sasa hivi na imenufaisha vipi jamii na wewe binafsi? ipo Play Stores?
Mi nakuhakikishia nilianza java kabla ya zote... na kwa sasa sifanyi application za kitoto... nyie mnaanza na vitu vya dezo ndo maana mnashia kwenye application za kawaida ambazo hazina vichwa wala miguu... na baadae mnaishia kutumia tools.. mi niko level hata kutengeneza hata extensions na plugins... na kwa sasa najua language zote ndogo ndogo coz sinakazi ya kubwa ya kuzielewa coz nishajua java.. mi natackle kitu up to down.. sio down to up..