Ubuntu haichezi video wala kutoa sauti

fundi msati

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
216
90
Natumia window ubuntu ila computer yangu hai play video wala audio mwanzoni nilikua nikitumia window 7 hapakua na tatizo naomba mnisaidie kwa anaefaham tatizo.
 
Mbona inapatikana kwa buku tu... Jiunge kifurushi cha kuanzia GB 1 na kuendekea then Google how to download Ubuntu... It is Free
 
natumia window ubuntu ila computer yangu hai play video wala audio mwnzoni nilikua nikitumia window 7 hapakua na tatizo naomba mnisaidie kwa anae faham tatizo

Kwanza, Ubuntu sio Windows. Ubuntu ni Operating System iliyotengenezwa juu ya Linux kernel, kwahiyo jina lake ni 'Ubuntu Linux' na sio 'Window Ubuntu'

Ubuntu ni free na open source, kwahiyo by default ina-include only free software. MP3, Windows Media Formats, etc ni non-free so haziwi included by default. Kuweza kucheza video na audio za hizo format install the required packages. Connect computer yako to the internet and run the following commands

sudo apt-get update
sudo apt-get install ubuntu-restricted-extras
sudo apt-get upgrade

au unaweza kuandika zote kwa pamoja

sudo apt-get update && sudo apt-get install ubuntu-restricted-extras && sudo apt-get upgrade

utaweka password yako and itadownload all packages required to play proprietary formats.
 
Ckia ww unataka ubuntu ya kutoa sauti na kucheza video?
Unatakiwa uwendele kwenye website ya kat.cr pale kuna sehem ya app ingia hapo alafu seach ubuntu.
Zitakuja ubuntu nyingi hapo we angalia yenye size kubwa kwenye Kuanzia GB 3 na kuendelea. Ndio uwindownload hapa ndio inakuwa na kila kitu hapo
 
Back
Top Bottom