Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, naomba kujua photo editor ambazo ni za bure na ni nzuri kuinstall katika PC. NAWASILISHA
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea website za vyuo na taasisi mbalimbali za serikali za Tanzania. Bahati mbaya website hizi huwa zina mwonekano mbaya sana ukilinganisha na taasisi nyingine za nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ina muonekano mzuri kama screenshots nilizochukua katika lumia 535 yangu zinavyoonesha hapa chini. But still haina option ya kulock network.
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Najua kila siku unatafuta maisha hapa na pale. Kwa wanafunzi wanaochimba ujuzi wana hamu ya ujuzi, kwa wafanyabiashara wana hamu ya kuchuma fedha, kwa watumishi wa serikali wana hamu ya kuhudumia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu nyote, Poleni na majukumu, kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
DOWNLOAD GAMES LATEST FASTA HAPA KTK HIZI WEBSITES NA WINDOWS 10 PIA http://games.naturalbd.com:81/games/games/...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri kwenu wanabodi. Siku za hivi karibuni katika pita pita zangu mitandaoni nikaona hizi machines za kubadilisha/kusaga vitu vya plastic (mostly ni aya masalia ya plastic) kuwa mafuta ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
PC yangu inapata sana moto baada ya dakika 15 baada ya kuiwasha na feni yake bado inazunguka fresh tena kwa speed. Msaada
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ninaomba kujua kama destop computer ina Wifi? Na kama ipo iko sehemu? Mfano kwenye kwenye kompyuta mpakato huwa kuna alama ukibonyeza tu inawaka na kuendelea kutumia,lakin kwenye desktop computer...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ninaomba msaada kwenye labtop yangu aina dell,nikiplay musics haitoi saut ila mwanzo ilikua inatoa sauti vizuri tu,inatumia window 7.Shida ya pili ni kwamba ile coursor haitulii inakua...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Simu yangu imekufa system charger na sitaki kuingia gharama za kuipeleka kwa fundi kwa kuwa mwezi ujao nataka ninunue simu nyingine so nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kobe za kuchajia betry...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekua nahangaika hadi muda huu naandika post nataka kununua Huawei Nexus 6P from EBay lakini cha ajabu sioni kampuni inayotoa Shipping ya simu hii kuja Tanzania nimekua napata shida sana. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa Kama Kuna application itakayoniwezesha kutafasiri lugha kutoka. Porguese to English Na kinyume chake pia hata Kama nitapata offfline dictionary. Itakuwa sasa Tu
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Wadau, samsung G355H inaleta hio error ninapofungua playstore. Msaada kutatua hilo tatizo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna simu hapa aina ya android inasumbua kudownload apps playstore. Inaonyesha alama ya kuload bila mafanikio yoyote.Nimejaribu kufuta data playstore kwenye settings lakini bado tatizo. Msaada wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habari zenu jamani mimi nakaribia kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano combination PCM. ninataka kwenda kusoma telecomunication nahitaji ushauri juu ya ilo na kama kwa sasa haifai kwa kipindi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Engine : 6.5 liter V12 770 hp 0-100km/h in 2.8 seconds Top speed 350km/h Only 40 cars to be produced Starting price €1.75 million
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Shikamoo Naomba kujuzwa internet ya bei rahisi. Iwe voda,tigo,airtel,halotel . na namba ya kuunga. Nataka ku download series.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar wanaJF naomben msaada jinsi ya kufungua Microsoft files kama word na excel. Ahsanten
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…