Braza, it is all about flaunting wealthy. Hao wanaomiliki hivyo vyombo, wala hawawazi juu ya kuisha matairi. Sasa kama anaweza kununua gari ya zaidi ya 2 million £, hatawaza kweli tairi likiisha hata kila siku?
One more thing, hizo speed limitless lanes siyo kwa ajili ya fast cars kama Lambo, Ferrari, Porsche etc., hata ukiwa na not-so expensive fast cars kama Challenger, Corvette, Mustang, Nissan GTR, Camaro etc. unaweza kutumia hizo lanes. Siyo hizo tu, kwa gari nyingi za Marekani na Ulaya ambazo speed limit inaweza kwenda hadi 240, basi ukijiamini tu hata na Camry, wewe kanyaga mafuta na tumia hizo lanes.