Blog yangu inakuwa disapproved bcz mwanzo nilikuwa natumia kiswahili
sasa naomba kama kuna mtaalamu anipe ujuzi wa jinsi gani naweza kuwa approved
au kulipia huo ujuzi kama upo wa kuwezesha...
Cmu yangu ya tecno c5 ambayo bado mpya kila nikizima halafu kuiwasha baada ya masaa kadhaa inaniambia battery low tena hukataa kuwaka mpaka niiweke kwenye charge naombeni msaada wakuu tatizo nn hapo
Habari wakuu, Nimeonelea kuwa ni vema kuuanzisha uzi huu ili wale wote wapendao kujifunza au wafanyao shughuli mbalimbali za kielektroniki kama vile uundaji wa inverter, amplifiers, preamps...
Nipo dar kwa sasa, nina hitaji solar panel pamoja na power bank kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani.
Km kuna mtu anaweza kusaidia upatikanaji wake tafadhari naomba msaada.
Je ungependa kuangalia mipira la ligi ya uingereza,Uefa,movie,sports zote and all entertainment just go to
http://www.firstrowsports.eu/
Prove for yourself
Wadau nimekua nikinunua Sabufa hizi za wachina lakini kinanchonishangaza haziwezi kuhimili sauti inayotoka kwenye PC hususa ni Media play ya VLC mimi ni muumini wa Sauti Kubwa nimeshangaa hizi...
habari zenu wanajamvi natumai muwazima wote
jamani mimi ninatatizo katika simu yangu aina ya tecno c8 tatizo lenyewe nikwamba ninapo mpigia simu mtu akipokea tunaongea vizuri tu shida inakuja pale...
Kama kichwa cha habari kinavyojileza hapo juu
COREi7
PROCESSOR 3.34GHZ
RAM 6GB
HDD 500GB nahitaji kubadilisha GPU coz most of game ambazo Nazi install zinaniletea ujumbe your VRAM is too low...
Hey fellas,
Check out this article.
It has helped a person like understand why my smartphone(huawei y530).
Runs out of battery charge when i'm using it.
I think it may interest you. Click the...
Nina pc ambya ni intel hd graphics processor yake core i7 HD graphics sasa kuna jamaa kaniuzia PC ambayo battries imekufa mouse yake mbovu baadhi ya keyboard hazifanyi kazi almost zoote ila...
Wakuu naomba mwenye kujua topics za pre entry course ngazi ya diploma ktk hizi technical college haswa Must and Atc zipo vipi katika soma la Physcis na mathematics topics ni zipi wakuu?
JANA NILIPOST JINSI YA KU-unlock MODEM LAKINI NI MTU MMOJA TU ALITAKA MSAADA WANGU,NAWEZA KUFUNGUA MODEM YA VODACOM NA IKATUMIA LINE YOYOTE WEWE NITUMIE AINA YA MODEM YAKO PAMOJA NA IMEI{Namba...
Wakuu kila nikiingia kwenye mtandao wa Instagram, kifurushi cha internet (MB) kinaisha haraka tofauti na nikiingia kwenye mitandao mingine kama vile Facebook, JF, Watsapp n.k.
Je, kuna namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.