medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,386
- 1,394
Kuna simu hapa aina ya android inasumbua kudownload apps playstore. Inaonyesha alama ya kuload bila mafanikio yoyote.Nimejaribu kufuta data playstore kwenye settings lakini bado tatizo.
Msaada wa tatizo hilo tafadhali.
Msaada wa tatizo hilo tafadhali.