Nijuze interntet ya bei rahisi

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Shikamoo

Naomba kujuzwa internet ya bei rahisi. Iwe voda,tigo,airtel,halotel . na namba ya kuunga.

Nataka ku download series.
 
Virushi gani? Keep talking...

kama unatafuta vifurushi vyenye unafuu mitandao almost yote, i mean voda, tigo, airtel and halotel wana line special za mwanachuo ambapo wanaoffer hadi 1GB per week kwa 1500 tuu.. au 500MB kwa tsh. 500.. lakin kama unazungumzia ishu ya ubora wa mtandao kwa maana internet yenye kasi zaidi inategemea na mahali ulipo, nikiwa kwetu Songea, voda na halotel ziko vizuri sana but nikirudi dsm(nipo UDSM) voda, tigo n airtel net yake iko poor sana.. kwa suggestion tu tafuta line ya tigo 4G zinauzwa buku 5 if im not mistaken, ina speed nzuri sana but ubaya wake ni kwamba TiGo 4G inapatikana baadhi ya mikoa pekee... suluhisho la kipekee kuliko yote ni laini ya mtandao mpya huu wa halotel(mimi pia ni mteja wao) jamaa wamejipanga sana kimiundombinu so hutokuwa na wasiwasi ya kupata 3G hata ukitoka nje ya mji, upo kila kona ya nchi...
wana vifurushi vyao vya usiku night packs, ambapo unaweza pata hadi 18Gb kwa bei poa kabisa.. go and try it,, urudi kutupa feedback..
nawasilisha
if you appreciate it, just hit like button
 
Thanks..
 
Wamepunguza mb
ukipiga *148*01*20# wamebadili but kama laini yako imesajiliwa kama mwanachuo unaweza kuunga popote kwa kupiga *148*00# na kuchagua ofa maalumu kisha university offer, vipo kama mwanzo hawajapunguza chochote.
 
Back
Top Bottom