Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tuendelee na maujanaja namba 3 wa makomyuta na masoftware na mengineyo kama ifuatavyo: 1. Kutumia trial version software Forever!! Ujue sofware nyingi ni za kununua na kama huna fedha basi...
28 Reactions
49 Replies
8K Views
Salam wakuu. Nahitaji mwenye link ya hiyo software anisaidie ili niwe narudisha file nilizofuta kwenye pc.
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Salam wakuu. Nahitaji mwenye link ya hiyo software anisaidie ili niwe narudisha file nilizofuta kwenye pc.
0 Reactions
0 Replies
496 Views
umuofia kwenu Naombeni msaada simu yngu ya Huawei aina ya G510 inaniandikia ujumbe huu kila sekunde, nifanye nini kutatua tatizo hili?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninahitaji kutengeza mobile app itakayokuwa inaonesha cell stats (signal strength, download speed, upload speed, n.k) Kuna hii app ya G-NET Track inaonesha vitu kibao. Kwa wale wenye experience...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo vp wadau,,nna simu ya Techno m3 nkiiwasha inaniletea maandishi haya,,,,"SELECT BOOT MODE: VOLUME_UP TO SELECT. VOLUME_DOWN IS OK [Recovery mode] [fastboot mode] [normal mode]" msaada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mm natumia simu ya samsung galaxy j1 ace, simu ina uwezo wa 4gb na nina memory card ya 4gb sasa simu imejaa "memory full" na memory ipo tupu kila nikitaka nitumie memory card yani vitu vyote...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakati ninajisajili kwenye time zone nikawa natafuta Dar es Salaam. Bahati nimeona UTC +3:00 ila ina Nairobi, Bagdad n.k. na kuisahau Dar es Salaam, kitu ambacho tumekizoea katika mitandao ya nje...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Habrari wadau, nina tatizo na simu ya Nokia ya tochi model namba 105. Ni kwamba simu hii inaniomba pin code wakati wa kuiwasha wakati sijawahi kuset pin kwenye simu. Nimejaribu kuweka namba 12345...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni application gan nzur naweza kuna download kwenye play store kwa ajili ya kurock application zingine example WhatsApp, image
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF nilikua napenda kujua chuo gani Tanzania kinatoa mafunzo bora ya information technology.....
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Ninakaa Dar es Salaam kama Wengi walivyo na habari kuwa Smart has lunched 4G services in Dar es Salaam but most anoying Smart hawakua na hata 3G Nimeona katika mitandao mingine kama simu yako hai...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kuifungua modem ya tigo Huawei e3372h
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Kama nilivyosema hapo juu, nnatatizo kwenye simu yangu inaonyesha imejaa internal memory nikadelete videos na mapicha hadi kubaki MB 102 lakini bado inanisumbua nikifungua mitandao, kimeseji cha...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wakuu, mie sio mzoefu wa mambo ya solar ila nina air condition (LG spilt BSA12IMA) nataka litumie umeme solar.. je nahitajika solar panel za aina zipi? Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Nimedownloads games ila kila nikitaka kucheza inaniambia XINPUT1_3.dll is missing, je nifanyeje kusolve tatizo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I have a project due 7th march 2016. I have to create an Atm script with three users with their different data and password. If you have idea please help. thank you for reading.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
http://www.vidmate.mobi/landing?p=MTc1OTk2MzIw Top 10 Upcoming PC Games of 2016 | HD | The top video downloader, Vidmate! Highly recommend! Click to get your favorite videos!
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua cpu ambayo ina processor 2... Nataka ninunue cpu peke yake yenye processor 2 lakin sina utaalamu wa kutambua cpu yenye processor 1 inakuaje...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Apple has taken new measures in order to protect the user’s security which will make difficult for the government to hack into the locked iPhone using various techniques. FBI has been demanding...
1 Reactions
0 Replies
724 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…