Unachohitaji ni class inaitwa SignalStrength, ina methods zote unazohitaji, kama hiyo ya signal strength inaitwa getGsmSignalStrength() inareturn int, ni wewe tu sasa kuirepresent unavotaka.
Ila kabla ya kutumia hiyo class inabidi u-initialize PhoneStateListener ambayo yenyewe ndo itakua inalisten for any change in the signal strength alafu inaprovide SignalStrength kwenye method yake ya onSignalStrengthChanged
In code iko hivi, forgive JF kwa kukosa styling ya code siku hizi
PhoneStateListener phoneStateListener= new PhoneStateListener()[
/*
*other methods weka Ctrl+O kuona methods nyingine kama utazihitaji
*/
public void onSignalStrengthChanged(SignalStrength signalStrength){
int strength = signalStrength.getGsmSignalStrength();
//Fanya sasa unachotaka kama ni kuchora au kuidisplay as an int
}
}
Ni lazima ku-register Listener na TelephonyManager hii ndiyo itakua inacall hiyo mListener yako
TelephonyManager tManager=(TelephonyManager) getSystemService(Context.TELEPHONY_SERVICE);
tManager.listen(phoneStateListener, PhoneStateListener.LISTEN_SIGNAL_STRENGTH);
You are done