gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,665
Kama nilivyosema hapo juu, nnatatizo kwenye simu yangu inaonyesha imejaa internal memory nikadelete videos na mapicha hadi kubaki MB 102 lakini bado inanisumbua nikifungua mitandao, kimeseji cha simu imejaa ni free space kinajitokeza na page inajifunga niliyokuwa nasoma. Nifanyeje? simu ina memory card ya 8 GB na bado inanafasi kubwa sana.