PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habari wanajukwaa naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua cpu ambayo ina processor 2... Nataka ninunue cpu peke yake yenye processor 2 lakin sina utaalamu wa kutambua cpu yenye processor 1 inakuaje na cpu yenye processor 2 inakuaje.... Wenye uzoefu na hiz vitu nisaidien??