msaada kuhusu solar

afebris

Member
Nov 17, 2015
96
104
Habari wakuu,
mie sio mzoefu wa mambo ya solar ila nina air condition (LG spilt BSA12IMA) nataka litumie umeme solar..
je nahitajika solar panel za aina zipi?
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom