Ozzanne Issakwisa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 288
- 241
Wakati ninajisajili kwenye time zone nikawa natafuta Dar es Salaam. Bahati nimeona UTC +3:00 ila ina Nairobi, Bagdad n.k. na kuisahau Dar es Salaam, kitu ambacho tumekizoea katika mitandao ya nje. Kulikoni hata sisi watanzania kusahau mji wetu?