Nkwel kk lakin nlkua nataka chuo chenye waalim bora wa it kilichop tz naomben uahaur wenhivi huo ubora ni mtu mwenyewe au chuo dogo hata uende havard kama wewe nibugula utabaki kuwa hivo hivo hayo masomo yanataka juhudi binafsi wala hayahitaji chuo kizuri nina jamaa angu kasoma finance lakini kwenye iyo field ni mtata hatari na sasa anafanya kazi kama programmer nchi za watu huko komaaa tu popote utakapoenda ila kumbuka juhudi binafsi ndo zitaleta matunda mazuri.good lucky bro
Sasa unataka kusoma IT wakati hata kuandika kwenyewe shida? upo mkoa gani wewe? na kiwango chako cha elimu ni kipi? unapoomba msaada unesha kweli kwamba unaomba msaada na unajitambuwa, kila chuo kina sifa na daraja lake sasa usipojieleza tukusaidiaje?Nkwel kk lakin nlkua nataka chuo chenye waalim bora wa it kilichop tz naomben uahaur wen
Kwa huu uandishi wa kwenye social media siku hizi si wengine tutaonekana ni wazee wa miaka ya '47.Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana nmepata dvsion 3 lakin mi natka kwnda nkasomee it ..... npo mwanza
Nenda University computing center Mwanza campus. je una lingine?Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana nmepata dvsion 3 lakin mi natka kwnda nkasomee it ..... npo mwanza