uko katika bootloader menu. chagua "normal mode" kwa kutumia vol.+Mambo vp wadau,,nna simu ya Techno m3 nkiiwasha inaniletea maandishi haya,,,,"SELECT BOOT MODE: VOLUME_UP TO SELECT. VOLUME_DOWN IS OK
[Recovery mode]
[fastboot mode]
[normal mode]"
msaada jamani,sijawahi kui root
Cheki sio button za volume down na kuzimia zimejihold zenyewe ndio maana inawaka kwenye boot menu !!!??? Ukiweza ikiwa kwenye normal una select kwa kuminya pamoja volume up and down ,wakati wa kufanya selection usihold minya na kuachia hiyo volume upasante mkuu,,ila kale kamshale hakatulii kanaenda juu na kushuka,hata nikitumia volume,knakua knacheza chenyewe tu
asante mkuu,ngoja niendelee kufanyia kazi maneno yenu wakuuCheki sio button za volume down na kuzimia zimejihold zenyewe ndio maana inawaka kwenye boot menu !!!??? Ukiweza ikiwa kwenye normal una select kwa kuminya pamoja volume up and down ,wakati wa kufanya selection usihold minya na kuachia hiyo volume up