Swali: Smart Tanzania asiye na 4G, anatumia nini?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Ninakaa Dar es Salaam kama Wengi walivyo na habari kuwa Smart has lunched 4G services in Dar es Salaam but most anoying Smart hawakua na hata 3G Nimeona katika mitandao mingine kama simu yako hai access 4G unatumia 3G,,,


SWALI: Je nikinunua line ya Smart nitakua natumia type gani ya network GPRS, 2G, 3G au itakuaje ?
 
dar smart ana 4g na 2g tu, hivyo ukiwa eneo lisilo na 4g itasoma 2g. na gprs ndio hio hio 2g
 
Hivi bei ya vifurushi kwa mtu anayetumia 4g na 3G zina tofauti?!
Mfano, Nilipokuwa Mbeya nilikuwa nikitumia Smart 3G unlimited kwa 1000, kwa Dar na 4G yao bei inakuwa vipi ...
 
Back
Top Bottom