MSAADA

kifimbodo

Senior Member
Apr 23, 2015
151
73
Habrari wadau, nina tatizo na simu ya Nokia ya tochi model namba 105. Ni kwamba simu hii inaniomba pin code wakati wa kuiwasha wakati sijawahi kuset pin kwenye simu. Nimejaribu kuweka namba 12345, 1234 na 0000 lakini zote zimekataa. Naombeni namna ya Ku unlock simu yangu.
Asanteni.
 
Lazima hyo simu kuna mtu alikua anaitumia kabla yako maana simu mpya kutoka dukani haiwezi kukuomba namba za siri ili kuifungua.
Mtafute aliyekua anaitumia mwanzoni
 
pin code mara nyingi inakuwa ni ya line umejaribu kubadili line tatizo linaendelea kuwepo?
 
Tatizo nikiweka kwenye simu hii nikibadilisha line kwenye nyingine inafanya kazi.!! Naombeni msaada wenu wadau tafadhari.!!
 
Line yeyote ukiweka inaomba security code mdau, msaada wako tafadhari
 
Back
Top Bottom