Download software inaitwa microsoft c+ c+ redistribute ttzo lako litakua limeishaaNimedownloads games ila kila nikitaka kucheza inaniambia XINPUT1_3.dll is missing, je nifanyeje kusolve tatizo?
Thanx mkuu...nimefanikisha kwa msaada wako..asante sanahayo mafile ya dll yanayoanziwa na x mengi ni kwamba umemiss direct x.
angalia folder la game mara nyingi utaikuta direct x na distributable zinazohitajika kwenye folder la hilo game.
ukikosa download hii hapa
Download DirectX End-User Runtimes (June 2010) from Official Microsoft Download Center