Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Wakuu mm natumia simu ya samsung galaxy j1 ace, simu ina uwezo wa 4gb na nina memory card ya 4gb sasa simu imejaa "memory full" na memory ipo tupu kila nikitaka nitumie memory card yani vitu vyote navyotumia kuanzua sasa viingie kwenye memory card inashindikana.
Je, nabadilisha vp? Maana kila mara naambiwa memory full wakati memory card yako ipo empty msaada tafadhali
Je, nabadilisha vp? Maana kila mara naambiwa memory full wakati memory card yako ipo empty msaada tafadhali