Simu yangu imekufa system charger na sitaki kuingia gharama za kuipeleka kwa fundi kwa kuwa mwezi ujao nataka ninunue simu nyingine so nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kobe za kuchajia betry...
Nimekua nahangaika hadi muda huu naandika post nataka kununua Huawei Nexus 6P from EBay lakini cha ajabu sioni kampuni inayotoa Shipping ya simu hii kuja Tanzania nimekua napata shida sana.
Kwa...
Naomba kujuzwa Kama Kuna application itakayoniwezesha kutafasiri lugha kutoka. Porguese to English Na kinyume chake pia hata Kama nitapata offfline dictionary. Itakuwa sasa Tu
Kuna simu hapa aina ya android inasumbua kudownload apps playstore. Inaonyesha alama ya kuload bila mafanikio yoyote.Nimejaribu kufuta data playstore kwenye settings lakini bado tatizo.
Msaada wa...
habari zenu jamani mimi nakaribia kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano combination PCM.
ninataka kwenda kusoma telecomunication nahitaji ushauri juu ya ilo na kama kwa sasa haifai kwa kipindi...
Habari wadau, ninajaribu kuinstall apps kupitia Playstore lakini zinaishia kuload tu, haziingii kwenye simu, tatizo limeanza baada ya kujaribu kuinstall Camscanner, nafasi ikawa haitoshi sasa...
Naomba msaada
Simu yangu ya Tecno y6 ina inagoma kutuma sms
Unaandika, Messages has stopped working,
Nilijaribu kudownload app nyingine ya messaning nikawa natumia ila nayo imestop!!
Naomba wakuu kwa anayezielewa hz cm Huawei Y330 nataka kuiflash ili iwe inaingia lain yoyote kweny lain namba 1 maana n tgo tu ndo inayosoma no 1 kwa sababu nlinunua kweny maduka ya tgo ila no 2...
Nimetokea kuipenda hii simu HTC one M9+ kwa sababu mimi ni mpenzi wa kupiga picha na selfie kibao nahitaji kujua bei ni sh.ngapi dukani nisije enda nikapigwa wajanja! Au haitanifaa kwa picha?
Wadau habarini za asubuhi, ni matumaini yangu hamjambo nyote kwa neema zake mwenyezi Mungu.
Kuna wakati niliomba msaada wa namna ya kuangalia mpira live kwenye simu na nilifanikiwa kuinstall...
Clay millennium prize ya dollar milioni moja kwa yeyeto atakaye thibitisha Riemann hypothesis.
What is Riemann Hypothesis?
The Riemann Hypothesis is a statement about the locations of zeros of a...