Humanlike robots may seem creepy, but some roboticists are betting they are the key to unlocking a future in which humans and superintelligent computers coexist, work alongside each other and even...
Sabakheri Wanasayans;
Ningependa Kufahamisha Ule Uchunguz Walioufanya Kwa Kuutoa Ubongo Wa Albert Einstein!! Ulikuwa Na Faida Au Ulileta Maendeleo Gan Katika Sayansi Na Teknolojia!??
Siku hizi wizi wa vifaa vya kuhifadhia kumbumbu muhimu huwa vinaibiwa sana haswa komputa , komputa nyingi tumeshuhudiwa zikiibiwa na wengine wakitangaza katika mtandao kuhusu hizo computer zao au...
Is your computer one of those computers that boots forever???!!like,you can even make a sandwich and still that welcome sign yet to come or still non responsive??anyways..,if your boot up takes...
Nahitaji kudownload adobe cs5,adobe photoshop cs5, ila sijui link itakayonipeleka moja kwa moja,pia ambayo ni free kama kuna mtu anafahamu undani wa hili au website ya kudownload software free ila...
Humanity has been lost already, now we replace our own data in place of our lost brotherhood and sisters.
Early before San bernadino attack a lot of mistrusted reports from different forums...
Katika Pita pita zangu nimegundua nina mitandao ya kijamii ambayo inahitaji Finishing Up ambayo ipo tu kwenye external HD yangu. kama kuna Developer ambae anapenda kuanzisha Mtandao wa kijamii...
Nina simu aina ya Huawei G 730, nikitaka kuinstall program yoyote inaniandikia the Space is not enough, delete some programs. Nifanyeje wakati nina Memory card ya GB 8!
Nimekua nikifuatilia hili swala Kwa mda mrefu juu ya hili sa kata la simu iliopatikana katika eneo la tukio huko San Bernadine marekani na jinsi FBI wanavo haha kufungua simu ambayo ilikutwa...
Unamiliki simu aina hii? Au uliwahi kuimiliki au mtu unayemfahamu anaimiliki?
Katika kuivinjari maeneo mbalimbali ulishawahi pita setting category ya easy of access, ukaturn on narrator? Nini...
Habari yenu wakuu nimejikongoja na kupata Lumia 535 used kwa muonekano wangu iko poa. Sasa kuna baadhi ya mambo yananishinda mfano kudownload wasap kila nikijaribu inafeli na inakomandi nitumie...