Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,565
3,730
LTE carrier support

NETWORK
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - A1662, A1723
CDMA 800 / 1900 - A1662, A1723

3G bands HSDPA 800 / 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100 - A1662, A1723
CDMA2000 1xEV-DO - A1662, A1723
TD‑SCDMA - A1723

4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 18(800), 19(800), 20(800), 25(1900), 26(850), 29(700) - A1662

LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 18(800), 19(800), 20(800), 25(1900), 26(850), 28(700), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500) - A1720
Speed HSPA, LTE Cat4 150/50 Mbps

GPRS Yes

EDGE Yes

BODY Dimensions 123.8 x 58.6 x 7.6 mm (4.87 x 2.31 x 0.30 in)

Weight 113 g (3.99 oz)

SIM Nano-SIM

- Apple Pay (Visa, MasterCard, AMEX certified)

DISPLAY Type LED-backlit IPS LCD, capacitive touchscreen, 16M colors

Size 4.0 inches (~60.8% screen-to-body ratio)

Resolution 640 x 1136 pixels (~326 ppi pixel density)

Multitouch Yes

PLATFORM OS iOS 9.3

Chipset Apple A9

CPU Dual-core 1.84 GHz Twister

GPU PowerVR GT7600 (six-core graphics)

MEMORY Card slot No

Internal 16/64 GB

CAMERA Primary 12 MP, f/2.2, 29mm, phase detection autofocus, dual-LED (dual tone) flash

Features 1/3" sensor size, 1.22 µm pixel size, geo-tagging, simultaneous 4K video and 8MP image recording, touch focus, face/smile detection, HDR (photo/panorama)

Video 2160p@30fps, 1080p@30/60fps, 1080p@120fps, 720p@240fps

Secondary 1.2 MP, f/2.4, 31mm, 720p@30fps, face detection, HDR, FaceTime over Wi-Fi or Cellular

SOUND Alert types Vibration, proprietary ringtones

Loudspeaker Yes
3.5mm jack Yes

COMMS WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, hotspot

Bluetooth v4.2, A2DP, LE

GPS Yes, with A-GPS, GLONASS

NFC Yes (Apple Pay only)

Radio No

USB v2.0, reversible connector

FEATURES Sensors Fingerprint, accelerometer, gyro, proximity, compass

Messaging iMessage, SMS (threaded view), MMS, Email, Push Email

Browser HTML5 (Safari)

Java No

- Active noise cancellation with dedicated mic
- Siri natural language commands and dictation
- iCloud cloud service
- iCloud Keychain
- TV-out
- Maps
- Audio/video player/editor
- Organizer
- Document viewer/editor
- Photo viewer/editor
- Voice memo/dial/command
- Predictive text input

BATTERY Non-removable Li-Po 1642 mAh battery

Stand-by Up to 240 h (2G) / Up to 240 h (3G)
Talk time Up to 14 h (3G)
Music play Up to 50 h
MISC Colors Space Gray, Silver, Gold, Rose Gold

Maoni yangu juu ya hii simu haina tofauti na iPhone 6 ila ni wamepunguza ukubwa wa simu kutoka 4.7" mpaka 4" ambayo ni ndogo kama ya iPhone 4s

Nini maoni yako mdau?
 
kama soc yake ni A9 kweli basi hio simu itakuwa ndio simu yenye nguvu kushinda iphone yoyote iliowahi kuzinduliwa.

A9 ndio inatumika kwenye iphone 6s na 6s+ lakini hao wakubwa wao wana vioo vya hd na full hd hii se hata hd haijafika inamaana soc itakuwa inapush pixel chache hivyo simu itakuwa na nguvu zaidi.
 
c9a6bc435a2ebd9b9e893d6163885153.jpg

a184f45d7cc10dbb1a62d63a29e04f82.jpg
 
kasimu kadogo kanakuwa na battery ndogo unless uitengeneze iwe nene kama kitofali.
Tatizo langu kubwa na simu za kisasa nashindwana nazo ktk battery, nyingi hazikidhi mahitaji yangu kulingana na budget yangu ya kawaida, nalazimika kutumia power bank!
 
Tatizo langu kubwa na simu za kisasa nashindwana nazo ktk battery, nyingi hazikidhi mahitaji yangu kulingana na budget yangu ya kawaida, nalazimika kutumia power bank!
cheki simu za xiaomi redmi 3 na redmi note 3 zote zina battery life nzuri sana na bei ni affordable kuanzia dola 100 tu.

pia hiki kisimu kinakaa na chaji kushinda simu kama iphone 6 na 6s sababu kakioo kake nako kadogo inamaana hakili umeme mwingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom