Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Nahitaji kudownload adobe cs5,adobe photoshop cs5, ila sijui link itakayonipeleka moja kwa moja,pia ambayo ni free kama kuna mtu anafahamu undani wa hili au website ya kudownload software free ila ziwe complete anisaidie.
ntashukuru katka hili.
ntashukuru katka hili.