Naomba kuelekezwa jinsi ya kutuma taarifa kwa e-mail

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
HABARI JF.
NAOMBENI MNIELEKEZE JINSI YA KUTUMA DOCUMENTS/TAARIFA KWA NJIA YA E-MAIL WANAFANYAJE?
NAWASILISHA
 
Kama imeweza kuja humu kuanzisha siredi unashindwaje kutuma documents kwa e mail?? Au kuna e mail nyingine tofauti na ninazozijua mimi??
 
Si unawatumia......
Kuna sehemu ya ku attach document imeandikwa ATTACHMENT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom