Vp khs reality ya tecno phone's

Vp khs reality ya tecno phone's

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jamani hivi kwa wale waliofuatilia uzimwaji wa simu kwa kurejea mfano wa nchi jirani ya Kenya je tecno zimesalimika???????
 
Kinchozimwa ni cm feki... haijalishi ni nokia, samsung, etc....
 
Tecno mbna wana cm nyingi sana og compared to samsung ambao macopy yamejaa
 
Usidanganyike kununua simu za Tecno.
Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani!
 
Usidanganyike kununua simu za Tecno.
Kwanza haijulikani hizi simu zinatengenezwa na kampuni za Nchi gani!
Mimi sijaona tecno feki, simu nyingi feki mtaani ni Samsung, Huawei, HTC na nyingine nyingi tu. Hata mitaa ya Posta Dar vijana wengi wanasimama barabarani kuuza simu feki nyingi ni Samsung, sijaona Tecno barabarani.
 
Back
Top Bottom