Nilitengeneza Mitandao ya kijamii mwaka 2010 kwa PHP ipo tu

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Katika Pita pita zangu nimegundua nina mitandao ya kijamii ambayo inahitaji Finishing Up ambayo ipo tu kwenye external HD yangu. kama kuna Developer ambae anapenda kuanzisha Mtandao wa kijamii, Kama wa FB , Forums na online shopping tuwasiliane nimpe kwa makubaliano flani na Company yangu. Nimetumia PHP 100% . mwenye nia ya kuingia kwenye hizi biashara anione in box.
 
uzi wako unaonyesha ulitengeneza alafu ulisahau kuwa ulitengeneza alafu leo ndo umezifumania.... 2010 ni mbali sana mkuu hata fb,ebay,twitter na JF zimesha updatiwa zaidi ya mara kumi ... tengeneza kitu kipya au zi update wateja watapatikana tu.
 
Katika Pita pita zangu nimegundua nina mitandao ya kijamii ambayo inahitaji Finishing Up ambayo ipo tu kwenye external HD yangu. kama kuna Developer ambae anapenda kuanzisha Mtandao wa kijamii, Kama wa FB , Forums na online shopping tuwasiliane nimpe kwa makubaliano flani na Company yangu. Nimetumia PHP 100% . mwenye nia ya kuingia kwenye hizi biashara anione in box.
Mi nataka
 
Watu waache code za open-source zinatokuwa updated na fixed kila siku wakimbilie hizo untested za 2010 ambazo haziko hata finished? Sio rahisi.
 
Back
Top Bottom